The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
Daah, sawa MkuuHiyo 15ml ukijibana sana utainua boma bila kuezeka. Ukitaka uezeke kwa hiyo 15ml itakubidi ujenge vyumba vidogo sana kiasi kwamba hata room za hostel za wanafunzi zitakuwa kubwa. Kama ndiyo pesa pekee uliyonayo, basi, jenga chumba na sebule, inaweza kumaliza.
Pesa hiyo ni nyingi sana atajenga boma na kupauaDaah, sawa Mkuu
Acha kutisha watu mkuu.Hiyo 15ml ukijibana sana utainua boma bila kuezeka. Ukitaka uezeke kwa hiyo 15ml itakubidi ujenge vyumba vidogo sana kiasi kwamba hata room za hostel za wanafunzi zitakuwa kubwa. Kama ndiyo pesa pekee uliyonayo, basi, jenga chumba na sebule, inaweza kumaliza.
SurePesa hiyo ni nyingi sana atajenga boma na kupaua
Appreciate [emoji106]