jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Sina uzoefu wowote katika ujenzi naomba msada wenu.
Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha.
Location yangu ni DSM Mbezi Mwisho.
Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha.
Location yangu ni DSM Mbezi Mwisho.