Msaada wa Ramani ya Nyumba

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
395
Reaction score
292
Habari.

Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo

-Vyumba viwili vya kulala, kimoja master
-Sitting room
-Public toilet
-Jiko

Naomba kuwasilisha
 
Kama unataka ramani ya kununua, kuna wadau wapo humu watakuja kukupa mwongozo. Ila kama ni zile za kudowload, basi nenda facebook. Utazipata za kutosha sana zenye sifa hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…