Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo.

Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.



 
Nakushauri ujaribu kuongeza kiwango cha maji inaonekana mwanga wa jua ndio unaziathiri, pia mbolea ili kuongeza iyo kijani kwenye majani,vipi maua hayapukutiki?
 
Mkuu nenda ofisi ya Kata shamba lilipo kuna afisa ugani wa kilimo.
Mualike aje kuangalia atakushauri
 
Mkuu nenda ofisi ya Kata shamba lilipo kuna afisa ugani wa kilimo.
Mualike aje kuangalia atakushauri
Hawa Watu wanakuwaga na mapozi sana huku kijij kwetu wapo na mapikipik yao bt ukiwafuata fulu kukuzungusha
 
Mkuu nenda ofisi ya Kata shamba lilipo kuna afisa ugani wa kilimo.
Mualike aje kuangalia atakushauri
Nilimpelekea matunda akasema labda ni aina ya mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…