BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Habari wakuu.
Nina gari yangu inaufunguo usio na remote sasa nahitaji kutengeneza au kufanya makeke ili nikitaka kufungua milango nabonyeza tu.
Sasa je inawezekana?