Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Jun 13, 2012 #1 Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!! Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au civil.
Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!! Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au civil.