Msaada wa sabuni nzuri ya kung'arisha ngozi

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Wakuu ni ipi sabuni nzuri za kung'arisha ngozi simaanishi kuchubua namaanisha kung'aa kutakata

Ni wapi naweza kupata kwa hapa Dar na pia bei zake zikoje na vipi kuhusu kojic soap?nitapata wap na bei zake zikoje

Nataka nije nijaribishe tu maana nataka soon nirudi kwenye biashara ya cosmetics

Please!! nitajieni hizo sabuni jina, na nitapata wapi na bei pia

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unataka kung'aa baada ya kuoga paka mafuta yanaitwa Carolight utapendeza sana Mkuu,huna haja ya kuhangaika na sabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…