Acha dharau, hata nguo yako uliyovaa leo ukivua lazima uifue, sasa ndo sembuse sofa linalokaliwa mara kwa mara? Nahisi wewe ni mchafu kweli kwako
Asante sana, Mungu akubarikiNenda katufute hyo kwenye maduka ya vifaa vya magar inasafisha vizuriView attachment 996036
Sent using Jamii Forums mobile app