Msaada wa samsung smart tv

Msaada wa samsung smart tv

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,152
Reaction score
3,473
Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema.

Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi internet. Vilevile ninapojaribu kufungua internet kwenye web browser, mwanzo inafunguka vizuri na nikifungua google.com inafunguka na pia nikisearch kwenye google search inasearch vizuri tu. Tatizo linakuja pale ninapoclick zile data nilizosearch tv inakataa na inantuma ujumbe wa Server Not Found. Naomba msaada wenu wazoefu wa tv

IMG-20200731-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom