Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sina uzoefu, ila nasikia wanaupenda sana mvinyo wetu toka idodomya.Habari Wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati.
Asanteni.
majibu ya hivi yanakatisha tamaa sana. ni vizuri majibu haya tuyaache kwenye majukwaa ya kihistoria ya kubishania histori sahihi ya wapigania uhuru ilivyopotoshwa, humu tuwe na majibu yaliyokaa kibiasharahiashara, majibu yenye faida tu, kama huna you keep shut the https://jamii.app/JFUserGuide up
Sawa mkuu lkn sidhani kama kuna ubaya kuchangamsha thread kidogo ila nisamehe kwa kukukwazamajibu ya hivi yanakatisha tamaa sana. ni vizuri majibu haya tuyaache kwenye majukwaa ya kihistoria ya kubishania histori sahihi ya wapigania uhuru ilivyopotoshwa, humu tuwe na majibu yaliyokaa kibiasharahiashara, majibu yenye faida tu, kama huna you keep shut the **** up
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuchangamsha uzi huu ni utoto huwezi andika kitu cha kipuuzi kama hicho kwenye uzi ambao mtu anatafuta solutions.Sawa mkuu lkn sidhani kama kuna ubaya kuchangamsha thread kidogo ila nisamehe kwa kukukwaza
Sent using Jamii Forums mobile app