Msaada wa sehemu ya Biashara Kati ya Italy na Tanzania

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,475
Reaction score
5,290
Habari Wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati.

Asanteni.
 
Habari Wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu ni bidhaa gani zinazosafirishwa kibiashara kutoka Tanzania kwenda Nchini Italia..iwe Mazao au Chochote anachokifahamu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati.

Asanteni.
Mie sina uzoefu, ila nasikia wanaupenda sana mvinyo wetu toka idodomya.
Note: nasikiaga tu mkuu.
 
Nimewahi siti. Wanakuja mkuu vuta subra

Sent using Jamii Forums mobile app
majibu ya hivi yanakatisha tamaa sana. ni vizuri majibu haya tuyaache kwenye majukwaa ya kihistoria ya kubishania histori sahihi ya wapigania uhuru ilivyopotoshwa, humu tuwe na majibu yaliyokaa kibiasharahiashara, majibu yenye faida tu, kama huna you keep shut the https://jamii.app/JFUserGuide up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu lkn sidhani kama kuna ubaya kuchangamsha thread kidogo ila nisamehe kwa kukukwaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…