Msaada wa shelia plz

Msaada wa shelia plz

kithumn

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Ndugu wanasheria naomba kujulishwa maana ya Matrimonial house.
 
Section 2 sub section 1 of the Law of Marriage Act provides that;
Matrimonial home'' means the building or part of a building in which the husband and wife ordinarily reside together and includes-
(a) Where a building and its curtilage are occupied for residential purposes only, that curtilage and any outbuildings thereon; and
(b) Where a building is on or occupied in conjunction with agricultural land, any land allocated by the husband or the wife, as the case may be, to his or her spouse for her or his exclusive use
 
Naomba mnisaidie tena,Matrimonial house inaweza kugawika?,na je watoto wana haki katika hiyo nyumba?
 
maana halisi ya matrimonial house ni ile nyumba ambayo wanandoa wanaishi. hata kama kuna nyumba karibia tano mmejenga, ni ile tu ambayo ninyi mnaishi ndio inaitwa matrimonial house. hata kama mmepanga nyumba, bado tu ni matrimonial house vilevile. hizo zingine kama mmejenga lakini hamuishi, zinakuwa matrimonial assets, ila matrimonial house ni ile moja tu unayoishi na mke wako.

bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

angalia hapa chini pia

View attachment 103551

View attachment 103550View attachment 103550View attachment 103550View attachment 103550
 
Back
Top Bottom