Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 342
Tunatafuta jinsi ya kumsadia mwenzetu. Mkataba wake wa kazi uliisha miezi kadhaa. Lakini aliyekuwa mwajiri wake bado anaendelea kumpigia simu kumtaka afike ofisini kuchukua document hii au ile wakati yeye hana haja na hizo document.
Huyu mwajiri utamfungulia mashtaka kwa sheria gani maana sheria ya ajira haifaanyi kazi tena hapo maana uhusiano wa uajiri uliisha miezi mitano iliyopita.
Huyu mwajiri utamfungulia mashtaka kwa sheria gani maana sheria ya ajira haifaanyi kazi tena hapo maana uhusiano wa uajiri uliisha miezi mitano iliyopita.