Msaada wa Sheria, Hivi kumbe kurekodi maudhui ya Ngono sio Kosa kisheria?

Msaada wa Sheria, Hivi kumbe kurekodi maudhui ya Ngono sio Kosa kisheria?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani.

Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka.

Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika anasema Watuhumiwa wanashitakiwa Kwa makosa Mawili tu, Kubaka, Kuingiliwa kinyume na maumbile.


Hivi kumbe Kurekodi zile video na kuzisambaza sio Kosa? Kinachoendelea kumuathiri zaidi huyu Binti wa watu sio pamoja na video hizo?

Niitieni Waziri wangu Gwajima, Jembe, Chuma la nguvu aseme neno.


View: https://youtu.be/aGiC1ScFRqM?si=gkFSGg-enGCHIKSE

PIA SOMA
- Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
 
Hivi threesome ya makubaliano pia ni kosa la Gang Rape?!
 
Back
Top Bottom