Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Aug 19, 2024 #1 Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani. Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka. Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika anasema Watuhumiwa wanashitakiwa Kwa makosa Mawili tu, Kubaka, Kuingiliwa kinyume na maumbile. Hivi kumbe Kurekodi zile video na kuzisambaza sio Kosa? Kinachoendelea kumuathiri zaidi huyu Binti wa watu sio pamoja na video hizo? Niitieni Waziri wangu Gwajima, Jembe, Chuma la nguvu aseme neno. View: https://youtu.be/aGiC1ScFRqM?si=gkFSGg-enGCHIKSE PIA SOMA - Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Hii Injiii, ama kweli akili ya Mtanzania huwezi kuíkuta Mahali popote hapa Duniani. Naombeni mniitie Huyu Mkurugenzi msaidizi wa Ofisi ya Mashitaka. Jamaa ambaye ni Msomi wa Sheria na kuaminika anasema Watuhumiwa wanashitakiwa Kwa makosa Mawili tu, Kubaka, Kuingiliwa kinyume na maumbile. Hivi kumbe Kurekodi zile video na kuzisambaza sio Kosa? Kinachoendelea kumuathiri zaidi huyu Binti wa watu sio pamoja na video hizo? Niitieni Waziri wangu Gwajima, Jembe, Chuma la nguvu aseme neno. View: https://youtu.be/aGiC1ScFRqM?si=gkFSGg-enGCHIKSE PIA SOMA - Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 19, 2024 #2 Hivi threesome ya makubaliano pia ni kosa la Gang Rape?!