Naona wamechachamaa..biashara za watu zinawekwa kofuli tu,asilimia 90 ya wafanya biashara hawaijui hiiHata mimi majibu yangenisaidia
hembu tuwekee kipengele kinachozungumzia watu binafsi? Hata hivyo ushuri huu unatakiwa ufanye na kazi kama za kuzoa taka lakini bado tunatozwa tena ushuru wa takaIkumbukwe pia kabla ya marekebisho ya mwaka 2012, sheria ilitaka halimshauri itatoza ushuru huu km chanzo cha mapato kutoka kwenye makampuni tu lakini ikipofika mwaka 2012 sheria ikifanyia marekebisho na kuzitaka kampuni au mtu yoyote mwenye leseni ya biashara kulipa ushuru huu na kama kampni au mtu yyt mwenye leseni ya biashara atakuwa na matawi ya kibiashara nje ya himaya pia huko kwehimaya(juridiction) atatozwa ushuru huo hukohuko na himaya husika
Ushoga na usagaji ni jambo linalogusa kila mtu, ushuru sio kila mtu, nenda kijijini uliza mtu yeyote kama anaujua huo ushuruIngekua issue ya ushoga na usagaji ingepata wachangiaji kibao, ila masuala ya msingi kama haya hakuna anayehangaika nayo!