Baba wadogo wanahusikaje katika mirathi Ikiwa watoto wapo Na wanamsaidia mama mdogo alieishi Na baba miezi miwili Na baba kufariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Kesi za mirathi kuna mambo/vitu vya muhimu ambavyo hujasema hapa ili uweze kupata ushauri sahihi kwani zina utaratibu wake tofauti na normal civil cases. Mambo/vitu hivyo ni pamoja na:-Baba wadogo wanahusikaje katika mirathi Ikiwa watoto wapo Na wanamsaidia mama mdogo alieishi Na baba miezi miwili Na baba kufariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Kesi za mirathi kuna mambo/vitu vya muhimu ambavyo hujasema hapa ili uweze kupata ushauri sahihi kwani zina utaratibu wake tofauti na normal civil cases. Mambo/vitu hivyo ni pamoja na:-
1. "Je, marehemu alikuwa na imani gani wakati wa uhai wake hadi mauti inamkuta? (Lengo: kujua sheria ipi itumike kwani zipo sheria zaidi ya 3 na zote zinahusu mirathi.)
2. Je, Marehemu ameacha wosia ama hakuna? (Kisheria mtu anaweza kufa kwa namna mbili (i) testacy or (ii) intestacy (Lengo: kujua kama utaratibu wa sheria husika ndo utumike kama hakuna wosia. Kama kuna wosia basi wosia huo ndo utahusika na si vinginevyo.
ONGEZA MAELEZO ..........
Sent using Jamii Forums mobile app