Mkuu, Kesi za mirathi kuna mambo/vitu vya muhimu ambavyo hujasema hapa ili uweze kupata ushauri sahihi kwani zina utaratibu wake tofauti na normal civil cases. Mambo/vitu hivyo ni pamoja na:-
1. "Je, marehemu alikuwa na imani gani wakati wa uhai wake hadi mauti inamkuta? (Lengo: kujua sheria ipi itumike kwani zipo sheria zaidi ya 3 na zote zinahusu mirathi.)
2. Je, Marehemu ameacha wosia ama hakuna? (Kisheria mtu anaweza kufa kwa namna mbili (i) testacy or (ii) intestacy (Lengo: kujua kama utaratibu wa sheria husika ndo utumike kama hakuna wosia. Kama kuna wosia basi wosia huo ndo utahusika na si vinginevyo.
ONGEZA MAELEZO ..........
Sent using
Jamii Forums mobile app