Msaada wa sheria, Matapeli Wameniliza

Wewe tajiri una pesa za kuchezeya utawezaje kutuma pesa bila kuongea na huyo dada yako,ulistahili kutapeliwa
 
Wewe tajiri una pesa za kuchezeya utawezaje kutuma pesa bila kuongea na huyo dada yako,ulistahili kutapeliwa

Ndugu yangu soma hiyo mada uelewe sio kutiana hasira tu, ukiona vipi soma pita tu, usiwashwe kuleta uchochezi
 
Usitume pesa bila kuongea na much usiku,Lakin we inaonekana unazo nyingi sana hadi unatuma fasta tu bila kuongea na muhusika

Afu kuwa muelewa wewe, nimesema nilimtafuta mhusika hakujibu haraka wakati tapeli likinisumbua lina shida sana. Au wewe ndo tapeli langu nijichukulie sheria mkononi
 
Afu kuwa muelewa wewe, nimesema nilimtafuta mhusika hakujibu haraka wakati tapeli likinisumbua lina shida sana. Au wewe ndo tapeli langu nijichukulie sheria mkononi

Ungevuta subiri wewe ndio uwe mwelewa lasivyo utaendelea kufanywa shamba la bibi kila siku
 
Ilisha wahi nitokea kama miaka 2 iliyo pita kwa wakati ule simu Ya huyo ndugu yako wao ndiyo hui operate na Ndiyo sababu hawapokei kwa kua utagundua sauti wao hudili na meseji tu.
Miezi michache iliyo pita ilitokea kwa msaani AY alienda Polisi walifanikiwa kumpata kijana mmoja wa IFM ndiyo aliye mwibia kwa nyia hiyo na aliwekwa mmpaka magazetini.
 
Asante sana, ndo tunajifunza Siku nyingine tuwe makini na hizi e - trx

Pole sana mkuu. Umenikumbusha maumivu ya kupigwa na tapeli 6M, tapeli huyu nashindwa kumkamata kwan anakula na Polisi wa kituo cha Chuo na pale kwenye mabati.
 
Kwa muda huo lakini ya huishikilia wao , kwa Mwenye namba husika network inakua haisomi kwa hiyo simu na sms humfikia tapeli yeye hujibu sms na simu hapokei kwa kutofautiana sauti
 
USHAURI
Nenda polisi ukiwa serious naye utampata but garama kama unavyo jua Polisi yetu
 
Kuna haja ya usajiri wa simu kuhakikiwa upya tena ikibidi hata utaratibu TCRA waangalie mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…