Salaam wakuu.
Humu najua wanasheria wako wengi, nahitaji recommendation ya mwanasheria. Kesi ya mambo ya ardhi, ni complicated kidogo hivyo ningependa nipate mwanasheria mzoefu sana. Prominent lawyers, please.
Asanteni

Anaweza kuwa prominent lawyer lakini hafahamu vizuri sheria za ardhi. Kuna mawakili wachache hapa nchini ambao ni wataalam wa kesi za jinai, mirathi, na ardhi.