JipuKubwa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 2,341 Reaction score 2,390 Jul 30, 2014 #1 Ndugu zangu naombeni ushauri,ndugu yangu amesababisha ajali ya basi na imeua mmoja,baada ya ajali alikimbia hadi sasa ila anatafutwa na polisi na basi lipo kituoni.
Ndugu zangu naombeni ushauri,ndugu yangu amesababisha ajali ya basi na imeua mmoja,baada ya ajali alikimbia hadi sasa ila anatafutwa na polisi na basi lipo kituoni.