K kisu2 New Member Joined Dec 25, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Jan 2, 2013 #1 Habari zenu G-thinkers? naombeni mtu yeyote aliye na documents iliyobeba sheria za barabaran za nchini Tanzania anisaidie jamani, i real need it. waweza kuni PM au kuiweka hapa moja kwa moja. Natanguliza shukran zangu za dhati
Habari zenu G-thinkers? naombeni mtu yeyote aliye na documents iliyobeba sheria za barabaran za nchini Tanzania anisaidie jamani, i real need it. waweza kuni PM au kuiweka hapa moja kwa moja. Natanguliza shukran zangu za dhati