Utasaidiwa ngoja waje wataalam,mkuuNaomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi?
Master plan ya mji huwa inapima barabara kwenye ardhi ya mtu bila FIDIA?
Hivi katiba inauzwa maeneo gani haswa nataka nifanye mpango wa kuinunuasante, Ninetafuta nikapata mwanga, section 151-156 of Kand act imenipa mwanga.
Nenda government printer bookshop utapata... nadhani kwenye website ya serikali and other legal organizations ipoHivi katiba inauzwa maeneo gani haswa nataka nifanye mpango wa kuinunua
Wanapaswa wakutafutie sehemu nyingine wakupe kiwanja.Naomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi?
Master plan ya mji huwa inapima barabara kwenye ardhi ya mtu bila FIDIA?