Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

kaka ninajaribu kuangalia siioni hiyo file hapa unaweza kunisaidia ndugu yangu NINA SHIDA NAYO SA. nime google wameniletea thread yako hii. msaada wako please.
 
Hiyo rules ni vigumu sana kuipata Online, hata kwenye page ya wizara ya kazi na ILO haipo.

Kama upo Dar unaweza pita kwenye Book Shop posta naimani utapata au nenda pale Law School Sinza.

Kama bado ngumu ingia kisutu hapo onana na makarani wa Mahakama wakuazime ukatoe Kopi.
 
Mi ninayo ya kiingereza ila kila nikijaribu ku share JF haitokei. Mafaili yanayo onekana ni whatsapp, blutooth sms, email n.K. Please anaeihitaji anitumie namba yake ya whatsapp au email. Au kama kuna mtaalamu anielekeze nifanyeji kuituma humu ndani
 
Mheshimiwa, naomba unitumie hiyo kitu kwenye email nitakayokuandikia kwenye PM, kisha nitajitahidi niiweke hapa, Tafadhali okoa jahazi
 
Mi ninayo ya kiingereza ila kila nikijaribu ku share JF haitokei. Mafaili yanayo onekana ni whatsapp, blutooth sms, email n.K. Please anaeihitaji anitumie namba yake ya whatsapp au email. Au kama kuna mtaalamu anielekeze nifanyeji kuituma humu ndani
0767 552 763
 
Namba unitumie kwa email:dinajared35@yahoo.com nina shida nayo sana Hata mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…