msaada wa sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi

msaada wa sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,508
Reaction score
220
wakuu,.........

nimeperuzi tovuti ya bunge kusaka hiyo sheria, lakini sijafanikiwa kuiona ................. naomba mwenye copy ya hii sheria.............. ama keyword ya kusearch moja kwa moja kwenye google ama tovuti ya bunge ama tovuti nyingine yoyote, naomba atubandikie hapa au anirushie PM .................. pia hata menye muhtasari wake unaotoa basics can do fine.......... msaada tafadhari.................

thanks in advance.....................
 
Back
Top Bottom