Mosahe Member Joined Feb 22, 2017 Posts 67 Reaction score 33 Jan 7, 2018 #1 Nimehuisha leseni (renew) ila haijatoka naruhusiwa kuendesha gari kwa wakati huo nasubiri?
sajo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,474 Reaction score 6,195 Jan 12, 2018 #2 Mosahe said: Nimehuisha leseni (renew) ila haijatoka naruhusiwa kuendesha gari kwa wakati huo nasubiri? Click to expand... Sasa utaendesha vipi gari bila leseni mzee?
Mosahe said: Nimehuisha leseni (renew) ila haijatoka naruhusiwa kuendesha gari kwa wakati huo nasubiri? Click to expand... Sasa utaendesha vipi gari bila leseni mzee?
swank JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 748 Reaction score 1,041 Jan 12, 2018 #3 Kwani wewe au leseni ndo inaendesha gari Endesha ila kuwa makini usikamatwe!
nchi ya viwanda Member Joined Apr 3, 2017 Posts 88 Reaction score 18 Jan 16, 2018 #4 Ukienda renew c tunatoa kibari cha ww kuwa lessen ipo some where
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 493 Reaction score 608 Jan 16, 2018 #5 Mkuu inaruhusiwa kuongeza madaraja baada ya mda gan
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Jan 16, 2018 #6 Kunarisiti unapewa use it