MAN OF PEACE
Senior Member
- Jul 12, 2014
- 193
- 192
Kisheria mkataba umeji renew upyaHeshima kwenu wa kuu,
Naomba ushauri juu ya sheria za kazi.
Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi mkataba wangu uliisha tarehe 30/04/2018, nimefanya kazi mwezi wa tano mzima na mshahara wamenilipa kama kawaida lakini jana tarehe 08/06/2018 wakasema hawawezi kuendelea na mimi tena bila sababu za msingi.
So kisheria hii imekaaje haki zangu nazipataje?
Asante!! Je kuhusu malipo inatakiwa nilipwe je kutokana na sheria za kazi?Kisheria mkataba umeji renew upya
...chukulia kulikuwa hakuna maongezi yoyote tangu mkataba kuisha mwezi wa 4,..kwa maana hiyo alifanya kazi mwezi wa 5 bila maongezi wa mkataba ,..je-jicho la kisheria linasemaje kuhusu hapo.Ulipofanya kazi mwezi wa 5 mulikubaliana VIP? Yaan malipo?
Umesema mwezi wa 5 ulilipwa je baada ya mkataba kuisha mwezi wa 4, kuna maongezi mengine? Je ni Yap?
...kwa maana hiyo ni kwamba kuna uvunjivu wa mkataba sio..?Kisheria mkataba umeji renew upya
...good umeeleza vema mkuuHapo
1. Mwajiri kavunja mkataba na wewe meanin that anatakiwa akupe haki zako zote za msingi
2.Japo inaonekana ni kuvunja mkataba lakin naiona kama ni "redundancy" type na HR alitakiwa akuite akwambie na pia akupe maelezo sio wanafanya mambo kienyeji enyeji
3.Kama utakwama please nipm nitakudirect kwa jamaa yangu mmoja lawyer ili akupe mchanganuo zaidi
Nawasilisha
Hawa waajiri wanapenda sana kufanya mambo ya kihuni huni kama vile sheria hakuna kama wanakuondoa kazini lazima wakupe sababu ya msingi na ukubaliane nayo sio uhuni wanaoufanya....good umeeleza vema mkuu
...daaaaah imegoma kufunfuka mkuuMkuu naomba upitie hivyo vipengele vya kisheria kama utakuwa na maswali tutaelimishana
mkataba wako uliisha tangu 30/4/18 hivyo basi ulipaswa kufanya maongezi ya mkataba mpya kabla ya kuendelea na kazi. Umeenda kwa HR kuulizia kuhusu mustakabali wako kazini mkuu?Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi mkataba wangu uliisha tarehe 30/04/2018, nimefanya kazi mwezi wa tano mzima na mshahara wamenilipa kama kawaida lakini jana tarehe 08/06/2018 wakasema hawawezi kuendelea na mimi tena
Sikuongea na HR coz mkataba ukiisha kama hawana mpango wa kuendelea na wewe wanakupa taarifa, so mi sikuwa na wasiwasi wowote kwakujua watanipa mkataba mwinginemkataba wako uliisha tangu 30/4/18 hivyo basi ulipaswa kufanya maongezi ya mkataba mpya kabla ya kuendelea na kazi. Umeenda kwa HR kuulizia kuhusu mustakabali wako kazini mkuu?
Sikuwa na shaka ndo mana sikuongea na HR coz wao ndo wangeniambia kama hawana mpango wa kuendelea na mm!!Ulipofanya kazi mwezi wa 5 mulikubaliana VIP? Yaan malipo?
Umesema mwezi wa 5 ulilipwa je baada ya mkataba kuisha mwezi wa 4, kuna maongezi mengine? Je ni Yap?
Ntaku pm kiongozi coz kuna vitu na hitaki kuvijua kiundani sanaHapo
1. Mwajiri kavunja mkataba na wewe meanin that anatakiwa akupe haki zako zote za msingi
2.Japo inaonekana ni kuvunja mkataba lakin naiona kama ni "redundancy" type na HR alitakiwa akuite akwambie na pia akupe maelezo sio wanafanya mambo kienyeji enyeji
3.Kama utakwama please nipm nitakudirect kwa jamaa yangu mmoja lawyer ili akupe mchanganuo zaidi
Nawasilisha
imegoma? ngoja nitume tena...daaaaah imegoma kufunfuka mkuu
...niliifungua mkuu...thanksimegoma? ngoja nitume tena
Pamoja mkuu kuna vitu hapo vingine nimeongezea ili vitusaidie maana hawa waajiri ukiishi nao inatakiwa akili sana...asante sana mkuu wangu.
Barikiwa na moyo wako mzuri mkuu