Msaada wa sheria za kazi

Msaada wa sheria za kazi

MASIKITIKO

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
959
Reaction score
429
Wadau naomba kuuliza endapo nimefanya kazi kwa mkataba miezi mitatu,na baada ya hapo nikaendelea kufanya kazi sasa mwaka na nusu bila mkataba na malipo yangu napokelea bank kila mwezi?na nikimuomba mwajiri anipe mkataba ananizungusha,je sheria inasemaje kuhusu hili?
 
Kama unahitaji kusoma na kupanua uelewa wako, nitumie E- mail kwa PM nikutumie Employment and Labour Relations Act (2004). Au unaweza ku-Google "Employment and Labour Relations Act".
Kuna kipindi inapaswa mtu ajue kisima kilipo ili ajichotee maji kadiri atakavyo.
 
Back
Top Bottom