Habari wana JF, mimi nilikuwa nafanya kazi na kampuni X kwa mda wa miaka miwili bila kuandikishiana mkataba wowote kisheria. nilikuwa nafanya kazi kwa makubaliano ya maneno ya mdomoni tuu na nilikuwa nalipwa kwa mwiso wa mwezi kama wafanyakaazi wengine walioajiriwa kwa written contract. sasa nimeamua kuacha kazi ghafla bila 30days notice coz sikuwa nalipiwa malipo yoyote ya hii mifuko ya kijamii, nilikuwa sikatwi PAYE na hata ela ya bodi ya mikopo nisingeweza kukatwa coz taarifa zangu hazijulukani popote. SASA JE, KUACHA KWANGU KAZI BILA 30 DAY NOTICE NAWEZA KUSHTAKIWA NA NIKAKUTWA NA HATIA KISHERIA? MSAADA PLZ!!