Habarini za muda huu wadau
Naombeni kutajiwa sheria zinazohusika na mambo yafuatayo kama utakuwa na kifungu kinachotaja specifically nitashukuru
1. Sheria inayohusika inayosema ndaiwa akifikia hatua ya kufilisiwa kwa njia ya mnada anaweza omba extension of time mahakamani au akaomba kusitisha mnada kama anaona anaweza lipa deni
2. Sheria inayosema kwamba siku ya kufanya kazi kwa public office ni jumatatu had ijumaa.
Nimejaribu kuangalia sheria hizi lakini sijapata....public services Act...bankruptcy act... Auctioneers act na public holidays act. Naomba kwa anaejua anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani.
Ahsanteni.