Nina ndugu yangu yupo zero yapata siku ya 8 sasa kwa kutuhumiwa kwa kosa LA wizi wa kimtandao ambapo imekuja kufahamika kuwa yeye alinunua simu ambayo inasadikika ilifanya kosa hilo..mlalamikaji amesema aliomuibia anamtamvua mwizi wake na si huyu waliomkamata polisi wamegoma kumpeleka mahakamani na dhamana hawataki kutoa wanadai rushwa mwenye kufahamu masuala ya sheria unaombwa Msaada wako kwa hili yupo ndani kwa zaidi ya wiki sasa
Duuu mkuu wewe ni Lissu au MNA udugu na KibataraWeka lawyer ambaye ataomba mahakama kuu itoe order ya HARBEUS CORPUS maana yake bring the body of a person who has been detained unlawfully so that the Court can determine if the detention is lawfully or unlawfully