lovie90
Member
- Sep 8, 2013
- 11
- 3
Habari zenu wanasheria humu naomba mnisaidie kitu..kuna michezo hii ya wanawake "upatu" tulikua tunacheza online.Tumecheza kwa mda mrefu sana ni mchezo ambao ulikua kwa jina moja mtu unapokea 1m kila siku.Nilikua na majina mawili hivi nimecheza na kupokea baada ya kama siku 3 mbele nikakwama kiuchumi kijumbe akawa anatoa hela anawalipa watu.Mchezo umeisha akanipigia kuniuliza nitalipa lini nikamwambia anivumilie ntamlipa kidogo kidogo ni almost 1m pia.Jana kanipigia simu ananiita polisi nikalipe pesa za wenyewe wanamdai,sikwenda.Leo asubuhi napata sms yake tukutane kituo cha polis saa tatu sijamjibu.Natakiwa kufanya nini hapa kwenda polis au kutokwenda.Na nikienda sheria ni ipi?Kuna mtu kanambia kesi ya hivi sio ya polisi na upatu umepigwa marufuku na hatujaaandikishana popote.Naombeni msaada apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app