aksante mkuu kwa ushauri mzuri,nina wakili ndio ambaye nilimweleza issue jinsi ilivyo,na nilimpatia huyu deffendatdemand note inayodai fidia ya 6.1ml ndani ya 30 days iwe imejibiwa ,kabla ya 30 days kutimia akaanza mchakatowa kunitafuta nikamatwe na police japo nilikuwepo tu ,police wakaja home naye mwenyewe sikuwepo wakati huo,police wakanipigia simu kunitaka nifike kituoni ,nikawambia kwa issue ipi wakasema nimejipati fedha kwa njia ya udanganyifu,nikajibu mi sidaiwi ila case hiyo iko mahakamani tukaishia hapo , wakili wangu kuona hivyo kaomba kufupisha siku za kujibiwa ile demand note,akafungua mashtaka rasmi kutokana kitendo cha deffendant kuanza kutaka kunikamata kwa sababu nimekataa kumalizia kulipa pesa kwa picha alizozidisha,mwanzo nililipia nusu ya thamani ya picha kwa kuwa hakutaka kunipa picha zangu 100 hadi nilipie zote,kwa hivyo ukirejea maelezo ya awali tangu nilipokuwa kituo cha police walinitaka nimlipe tu japo makubaliano ktk mkataba ni picha 100 tu hizi 65 ni zimezidi,mkataba ulifanyika baada ya tukio na maelezo yangu mahakamani yameeleza kwamba tulikubaliana atoe picha 100 tu wakati huo hatukua na mkataba wa maandishi nilimwamini tu, baada ya kufungua case mahakamani akapata surmons akaja mahakamani kumbe kapanga deal na police navyotoka tu mahakamani nikakamatwa hadi police nikawekwa lock up badae dhamana nikatoka so hadi sasa sijafikishwa mahakamani baada ya kukamatwa ,ndo po sasa defendant katfuta wakili ndo kaja na counter clame ambazo wakili wangu ameziwekea pingamizi ,hii ni fact bila chenga maana najua kuwa wakili anafanyia kazi kile unachomweleza .