Wandugu naombeni msaada wenu kuna ndugu yangu alifunguliwa mastaka yakurusha pesa kesi ikaenda mahakamani tumepigwa tarehe kama mara tatu yane tukaambiwa uko huru hakuna kesi hapo leo hii huyo ndugu yangu kapigiwa simu na yule askari aliye mpelelezi wa polisi anasema tuende polisi kabla hajaja kumkamata msaada please