msaada wa sheria

Wamazombe

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
15
Reaction score
6
Kuna kijana amefanya ka kwa wachina miezi miwili,kabla ya kupewa mkataba,akapata ajali akiwa kwenye gari la kazi akaumia nyonga,je afanye nini ili apate haki yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…