Maige Maro
Member
- Aug 2, 2012
- 15
- 1
Kwanza nitangulize shukran kwa wana jamii forum kwa kaz kubwa ya kuelimisha jamii.baada ya shukran hizo,naomba kusaidiwa kwa hil:mama ana kesi dhid ya aliyekuwa mme wake tangia 1999 akidai mgawanyo wa mali walizochuma.kesi imeendeshwa hadi mahakama kuu na mama akapewa nyumba moja kat ya3 walizojenga.cha ajabu mme akaiboa ile nyumba na kujenga kyk kiwanja kilekile nyumba ya block kabla ya mama kukabidhiwa kisha akaenda mahakaman kudai kua nyumba ile ilibomoka na iliyopo n mal yake.ila mme amekuwa anashindwa kila anapokata rufaa,sasa mama anamwa hana uwezo wa kufatilia pamoja kuwa kes ilihumiwa mwaka jana mwez 5mpaka sasa hakuna lolote.mama amenituma mahakaman kuchukua nakala ya hukumu wanasema file halionekan.je nifanyeje nimsaidie mama ili mm n wmanafunzi