Richard Mlangi JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 380 Reaction score 193 Oct 3, 2013 #1 Naomba kujulishwa ni sheria ipi au kifungu kinachosimamia Vikao vya harusi au meeting resolutions za vikundi
Naomba kujulishwa ni sheria ipi au kifungu kinachosimamia Vikao vya harusi au meeting resolutions za vikundi
M mwanafyale JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,641 Reaction score 538 Oct 3, 2013 #2 Sheria ya jasho la mtu haliliwi bure. Kama ulichangiwa lazima uchange
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,178 Oct 4, 2013 #3 mwanafyale said: Sheria ya jasho la mtu haliliwi bure. Kama ulichangiwa lazima uchange Click to expand... Inaitwaje? Au ipo katika section na volume gani?
mwanafyale said: Sheria ya jasho la mtu haliliwi bure. Kama ulichangiwa lazima uchange Click to expand... Inaitwaje? Au ipo katika section na volume gani?
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 Oct 4, 2013 #4 Kaulize kwenye post ya sheria watu wengine wajuao sheria wanaingia theread za kule tu labda utasaidiwa.
Kaulize kwenye post ya sheria watu wengine wajuao sheria wanaingia theread za kule tu labda utasaidiwa.