MR. MORRIS T. J.
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 1,167
- 403
Ndugu,Wanasheria,eneo Letu La Familia Limefuatwa Na Bara Bara, Lipo Nzega, Malipo Yalolipwa Ni sh 150 kwa mita skwea moja ya ardhi, eneo lipo ndani ya mji,ni dakika 4 tu toka nzega mjini, ukubwa wa eneo ni Km Sguare 11046.49 Pia Kulikuwemo Na Mazao Katani 100,miti Ya Matunda,ya Kuni Na Ya Kivuli,baada Ya Malipo Hayo Nililalamika Kuanzia Idara Ya Ardhi Nzega,nikapewa Majibu,mita Skwea Moja Ya Ardhi Ni Sh.5000, Pia Wao Hawahusiki Na Hayo Malipo Anaehusika Ni Das,nikaenda Kwa Das,nae Akasema Hahusiki Na Malipo Hayo Wanaohusika Ni Tanroad, Nikaenda Tanroad Tabora Wao Wakasema Wamelipa Kulingana Na Sheria,sikuridhika Na Majibu Nikamwandikia Barua Mh,waziri Magufuli, Barua Haikujibiwa,nikaenda Ofisini Kwake Zaidi Ya Mara 20 Bila Mafanikio Ya Kuonana Nae Wala Ya Kujibiwa Barua Yangu Hy,wiki Iliyopita Nikaonana Na Msaidizi Wake Bwana Mbusa Akatoa Majibu Haya" Kwa Kuwa Fidia Mlipokea Basi Mlilizika Nayo,Hvy Waziri Hawezi Kuwalipa Tena Labda Nendeni Mahakamani''Hvy Naomba Mwanasheria Wa Kunisaidia Kufungua Kesi,