Habari za mchana wakuu?natumaini wote ni wazima wa afya telee...wakuu nilikuwa naomba mnisaidie shule nzuri za private A-LEVEL kwa michepuo ya PCM NA PCB katika mikoa ya KILIMANJARO NA ARUSHA.nataka nimuamishe mdogo wangu amechaguliwa mtwara, anadai kuwa kuna walimu wawili tu na kuna uchache wa vitendea kazi katika maabara zao.alipata div 1:17 msaada wakuu