Michael Twaha
Member
- Apr 14, 2014
- 32
- 0
Naomba msaada kwa anaefahamu shule nzuri ya private ilipo na contact zake combination HGL, HGK, HKL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa anaefahamu naomba unixaidie xhule na contant za xhule uxika:asanten kaka na dada zangu wa jf:
kwa anaefahamu naomba unixaidie xhule na contant za xhule uxika:asanten kaka na dada zangu wa jf:
Uandishi wa namna hii JF hupati msaada!kwa anaefahamu naomba unixaidie xhule na contant za xhule uxika:asanten kaka na dada zangu wa jf:
natamani nikutukane matusi makubwa makubwa.
Ndio maana umekosa shule na ulipata Div 4....
Naomba msaada kwa anaefahamu shule nzuri ya private ilipo na contact zake combination HGL,HGK,HKL.
Majengo high xul moshi! contact me 0652542801
Naomba msaada kwa anaefahamu shule nzuri ya private ilipo na contact zake combination HGL,HGK,HKL.