Msaada wa Sim banking

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Naomba kujua security ya fedha za mteja kwa SIM banking ikoje. For example, TCB popote unaweza kuhamisha fedha toka akaunti yako, kukopa salary advance, pension advance and many other operations.

Je, usalama wa matumizi haya kwa fedha za mteja ukoje? Juzi NMB kuna mteja alikuta hela zake zimechukuliwa. NMB wanaleta upuuzi mara oh labda ulimpa mtu kadi yako, mara hacking etc etc. wakati fedha za mteja ziko kwenye dhamana yao.

Is it safe kutumia service hizo?
 
napenda pia kujua usalama wa simbanking kabla sijainstall app yao. kwa wazoefu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…