umalay
Kwani ukienda hospital ndio wanaoamua ufe au upone? Jibu hilo kwanza...Kufuru kubwa,kwamba kama sio mtoto wako ungekufa? Inaonekana huyo mtoto wako ni mungu wako, ndiye anaamua ufe au uishi.
Sisi tulioumwa corona tunajua handling iliyokuwa hospital wakati wa Magufuli. Acha sisis tusimulie, wewe hujui kitu maana you didi not come across that danger!Kufuru kubwa,kwamba kama sio mtoto wako ungekufa? Inaonekana huyo mtoto wako ni mungu wako, ndiye anaamua ufe au uishi.
Asante, nilisoma course mbili tofauti ikiwa ni Pamoja na Law, lakini leo. Nadili na upande mwingine ikiwemo hiyo nyingine. Japo law niliipenda zaidiPole sana. Uliacha kitu cha msingi....nadhani katika vitu ambavyo nilijitahidi visikosekane kwenye familia yangu ni Mwanasheria , Wakili for that matter and MD! Thank God I have both of them from my woumb! Naona faida ya kuwa navyo. had it not been for my MD daughter, I would be dead from Corona! Nilishikika kweli kweli mwanzoni kabisa wakati Jiwe anavuruga watu. Mtoto wangu ndiye aliniokoa kuwa hospitali usiende fanya moja mbili tatu! it worked!