Msaada wa soko la asali mbichi hapa Dar kwa bei ya jumla

Msaada wa soko la asali mbichi hapa Dar kwa bei ya jumla

Innocizy

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
1,736
Reaction score
1,056
Habari wakuu,

Naomba fahamishwa mahali wanaponunua asali mbichi kwa bei ya jumla hapa Dar na ni bei gani kwa dumu la Lita 20.Natafuta soko hilo niweze kuuza dumu kama 20 hivi ambazo ninazo.

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Mnunuzi mkubwa wa Asali hapa nchini ni Mohammed Enterprise. Fuatilia kujua ana nunja kwa bei gani.
 
Back
Top Bottom