Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Sep 11, 2015 #1 Habari wakuu, Naomba fahamishwa mahali wanaponunua asali mbichi kwa bei ya jumla hapa Dar na ni bei gani kwa dumu la Lita 20.Natafuta soko hilo niweze kuuza dumu kama 20 hivi ambazo ninazo. Asanteni kwa msaada wenu.
Habari wakuu, Naomba fahamishwa mahali wanaponunua asali mbichi kwa bei ya jumla hapa Dar na ni bei gani kwa dumu la Lita 20.Natafuta soko hilo niweze kuuza dumu kama 20 hivi ambazo ninazo. Asanteni kwa msaada wenu.
I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,039 Reaction score 4,889 Sep 11, 2015 #2 Mnunuzi mkubwa wa Asali hapa nchini ni Mohammed Enterprise. Fuatilia kujua ana nunja kwa bei gani.
Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 Sep 12, 2015 Thread starter #3 iMind said: Mnunuzi mkubwa wa Asali hapa nchini ni Mohammed Enterprise. Fuatilia kujua ana nunja kwa bei gani. Click to expand... Asante sana kaka
iMind said: Mnunuzi mkubwa wa Asali hapa nchini ni Mohammed Enterprise. Fuatilia kujua ana nunja kwa bei gani. Click to expand... Asante sana kaka