Msaada wa soko la asali

Mawazo huru

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
13
Reaction score
1
NATAFUTA SOKO LA ASALI ya nyuki wakubwa kwa wadogo JIJINI DAR ES SALAAM NA MJINI MOROGORO. Kwa yeyote anayefahamu wanunuzi wa asali ktk miji hiyo naomba wanisaidia kujua ni nani wanunuzi na wanapatikana wapi na wananunua kwa bei gani. ASANTENI
 
mkuu unatafuta soko humu JF....hapa ni longo longo tu!!

kama upo Dsm, nenda kariakoo sokoni na kwenye maduka ya wahindi wanaouza spices na vyakula, kaulize huko utapata mawazo practical...ukienda pale kariakoo soko la nazi, mtafute mzee mmoja anaitwa Babu Ali atakusaidia.
 
Sasa brother Al Zagawi kama asingeuliza humu JF hizi taarifa zako angezipata wapi? Kwa kweli humu JF longo longo hamna ila wakati mwingine hatuwi serious na majibu yetu lakini humu ni MWISHO WA YOTE kila kitu utapata humu.
 
Asali yako ni ya wapi,unayo kiasi tani,uauzaje kwa ltr au debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…