Habari wadau, sina mengi ndugu zangu naomba kujua wapi nitapata soko la madini aina ya ulanga mweusi na kyanite, msaada wa upatikanaji wa soko. Natanguliza shukran View attachment 3228418
Ulanga mweusi kwa jina la kingereza unaitwaje mkuu? Unaweza kuta watu wanalijua soko ila kwa jina tofauti. Kama ulivyoiandika hiyo kyanite na ulanga mweusi tupe kwa kidhungu😜😜