Msaada wa soko la ndani na nje la asali

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wana JF. Natafuta msaada wa soko la Asali kwa soko la ndani vilevile soko la nje, Asali ni nyingi na ya kutosha kutoka Singida,Mkuranga na Ushirombo.

Kwa yeyote mwenye kumjua Mnunuzi wa Asali naomba anisaidie tuwasiliane kupitia email hii businessnow271@gmail.com

Tashukuru sana kwa atakae nisaidia katika hili.
 
Njoo Uwauzie Wachina Wanakiwanda Chao Hapa Kibaha Wananunua Vizuri. Je Unakiasi Gani? Naomba Unielekeze Pia Nataka Kuanzisha Mradi Wa Ufugaji Nyuki. Je Kwa Mwaka Unavuna Mara Ngapi?
 
Njoo Uwauzie Wachina Wanakiwanda Chao Hapa Kibaha Wananunua Vizuri. Je Unakiasi Gani? Naomba Unielekeze Pia Nataka Kuanzisha Mradi Wa Ufugaji Nyuki. Je Kwa Mwaka Unavuna Mara Ngapi?

Nashukuru kwa Msaada huo, unaweza kujua wanunua kwa Sh. ngapi @ 20 litre kwa asali ya Nyuki wakubwa? vile vile na kwa Nyuki wadogo ni sh Ngapi? kama inakua ngumu unaweza nisaidia Contact zao au Kiwanda chao kinaitwaje?
Asali ipo ya kutosha zaidi ya dumu 50 @ 20 litre. Kuhusu namna ya Ufugaji nitumie Email add yako then taku attachia Melekezo vizuri.
 
njoo uwauzie wachina wanakiwanda chao hapa kibaha wananunua vizuri. Je unakiasi gani? Naomba unielekeze pia nataka kuanzisha mradi wa ufugaji nyuki. Je kwa mwaka unavuna mara ngapi?

ndugu mwaga maelezo kwakuwasaidia na wengine kiwanda kipo kibaha sehemu gani na wanachukua kuamzia lita ngapi nakila lita wananunua bei gani na mawasiliano yao jinsi yakuwapata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…