Natafuta spare za gari yangu Nissan Liberty 2001
Engine SR 20
Spare nazotafuta ni:-
1. Ring
2. Men and cone (standard)
3. Transwashel
4. Head gasget
Nb: samahani kama nitakuwa nimekosea kuziandika majina kwa ufasaha.
Mwenye nazo au ambaye anafahamu duka ambalo naweza kupata anisaidie tafadhali wadau.