ndesamburo kwek
Senior Member
- Aug 1, 2011
- 136
- 21
Wanajamvi nimepambana na kufanikiwa kupata Chuo na kuanza masomo tayari katika field yangu hii hii ya Elimu,nimeweza kulipa kwa semester ya kwanza ila naona dalili zote za kusitisha masomo kwa kushindwa ada!Kwa unyenyekevu naomba yeyote mwenye kujua nitapataje sponsorship tafadhali ajitokeze anisaidie.