Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

Ach
Acha uongo wewe jamaa,spare za subaru zipo nyingi na kuna maduka yapo special kwa ajili ya subaru tu nenda mtaa Livingstone kariakoo,mwenge,posta kote utapata spare zake.

Spare zake ni genuine hamna za kuchakachua kama TOYOTA
Sasa wote wanaishi dar... Kama yupo nkasi huko
 
Mmmh super charge na turbo charger nfo zipoje
Mimi nitaeleza kuhusu turbocharger.....
Ni hivi kazi ya turbocharger Kwenye engine ni kuongeza nguvu ya engine na pia turbocharger huongeza msukumo wa hewa Safi(compression to ratio) na kuingia katika vyumba vya engine (combustion chamber) na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta
 
Daah mkuu kiswahili kigumu sana namna ya kueleza hayo mambo hahah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya maswali ni ya msingi sana ila yanaweza kukuchekesha mpaka basi,

Hapa mdau anataka aelewe engine zinakuwaje hizo halafu wewe unaongea nae kama anazifahamu unamuongezea nyama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…